MAAJABU YA ALOEVERA GEL
ALOE VERA NA NGUVU ZAKE ZA KITIBA
NDUGU EEEH , karibu sana katika familia yetu hii kubwa yenye kuwafikia maelfu ya watu sehemu zote duniani.
* leo tutapata kuyafahamu maajabu ya mmea huu wa ALOEVERA. Wengi wetu katika mazingira tuliokulia huko vijijini kwetu lazima tumekuta mazingira yenye zao hili, pengine tumeona babu zetu wakilitumia , na kama wewe ushawahi kunyweshwa km dawa pengine unlifahamu zaid.
ZAIDII...*. Zao hili inasemekana lilichimbuka SouthAfrica, kuna machapisho yanayotaja machimbuko mengine kwa mfano, Madagascar, India n.k baada ya hapo lilisambaa mpaka sasa linapatikana kote ulimwenguni.
HISTORIA...
- Historia inatuonyesha zao hil lili tumika kwa wingi kwenye falme kubwa za kale duniani kama TIBA yao KUU. Historia ya misri inatuambia ya kuwa malkia Cleopatra alitumia zao hili pekee kwenye ngozi yake hivyo kuifanya kuwa nzuri na ya kuvutia. (dada zangu kumbe kujipaka Magido sio inshuu eeeh)
- Kwenye falme ya Roma, zao hili ndo lilikuwa tiba ya maradhi ya tumbo, na watabibu walilitumia kusafisha matumbo yaliyochafuka (stomach cleansing)
- Mfalme Alexander the Great, wa Ugiriki alienda mbali na kuteka kisiwa kizima cha Socota(Socota islands) ilikupata zao hili kwa ajili ya kutibu raia na wanajeshi wake waliokuwa na majeraha ya kivita
Vyanzo vya kiutafiti km vile baadhi ya Encyclopedia zimelitunuku zao hili jina la,
*THE MIRACLE PLANT* Yaani *MMEA WA MIUJIZA* Ama hakika km ushawahi kutumia zao hili kama tiba hakika utakuwa shahidi.
SASA KUNA MAKUMPUNI MENGI YA KITIBA YALIYO WEKEZA KATIKA UTAFITI WA NAMNA MMEA HUU UNAVYO FANYA KAZI NA UNAVYOTIBU MARADHI MBALIMBALI , MENGINE YANAYO WAPA SHIDA MADAKTARI KUTIBU.
Katika MAKAMPUNI hayo kuna mmoja tu ambalo LIMEONGOZA kwa kutengeneza bidhaa ambazo ni 100% hazina Chemically na zina matokeo CHANYA kwa kila anae zitumia...
HII IMEIFANYA KUWA KAMPUNI PEKEE LA ALOEVERA KUWA NA UTHIBITISHO KUTOKA MASHIRIKA YA AFYA NCHI ZOTE, PAMOJA NA UTHIBITISHO KUTOKA KWA MASHIRIKA MAKUBWA DUNIANI.
HII ni kampuni ya FOREVER LIVING COMPANY iliyopo ARIZONA, USA
NA hutengeneza bidhaa mbalimbali za NGOZI na UREMBO, KUPUNGUZA UZITO/ KITAMBI, KUONGEZA NGUVU YA MWILI NA zote hizi hazina chemicals Hatarishi hivyo kukuepusha na MARADHI km Cancer, Kisukari, pressure, magonjwa ya moyo etc.
KATIKA BIDHAA ZAO ZOTE KUNA BIDHAA YAO KUU AMBAYO NDO BIDHAA YAO MAMA inayoitambulisha kampuni hii katika masoko ya kimataifa.. NA BIDHAA YAO HII YA KIMIUJIZA NIII.....
MATUMIZI YA ALOE VERA GEL KWA MARADHI MBALIMBALI
MARADHI YA NGOZI # *AloeVera Gel hutibu vidonda fasta sana na kwa kasi ya kushangaza na ajabu sana, hapa ni vidonda vya aina yeyote ile kuanzia michubuko, vidonda vya kukatwa (na panga, na viwembe etc) , pia vidonda vya kuunguzwa na moto, au maji ya moto # *Je unasumbuliwa na fangasi, kwenye ngozi yako pengine sehemu km miguuni, sehemu za siri au sehemu ya haja kubwa. Hapa ndo kuna tiba yako. Kiufupi km unasumbuliwa na maradhi yeyote ya ngozi wasiliana nasi upate ushauri wa BURE KABISA ujumuike na maelfu waliotibiwa mpaka sasa.
- MARADHI YA TUMBO
#*Seli za kuta za tumbo kitaalamu huitwa Epithelia cells. seli hizi zikijjeruhiwa (mara nyingi na acid au bacteria tumboni) huchanika na kusababisha vidonda (vidonda vya tumbo km inavyofahamika) Na huleta maumivu yasioelezeka. ALOEVERA GEL ikitumika vizuri itatibu tatizo lako mazima!!!! #* Hutibu uvimbe (inflamations) katika sehemu mbalimbali mwilini. # *Husaidia pia katika mmeng"enyo wa chakula, ikiwemo na tatizo lakukosa HAJA KUBWA. kujua km ALOEVERA GEL inaweza kutibu tatizo lako wasiliana nasi BURE KABISAAA!!! # *Tumbo kujaa GESI
- MAPAMBANO DHIDI YA BACTERIA / FUNGUS / NA VIRUS #Aloevera Gel imejaa chembechembe za Anthraquinone . ambazo hufanana na antibiotic ya TETRACYCLINE #Anthraquinone Huimarisha kinga ya mwili maradufu, hivo kuupa mwili nguvu kupambana dhidi ya BACTERIA, VIRUSI, pamoja na FUNGUS. MATUMIZI MENGINE NI PAMOJA NAAA...
- MARADHI SUGU YA KINYWA
- BAWASIRI SUGU
- KUPUNGUZA KITAMBI / UZITO
- KISUKARI KUNA NJIA NYINGI ZA KUTUMIA ALOEVERA GEL, *Kuna njia za kienyeji (kukata lile jani na kulitumia mmoja kwa moja.) wataalamu hapendekezi hii njia.
*WAMAMA WAJAWAZITO WASIJARIRIBU KUNYWA ALOEVERA KABISA. HII NI KWA SABABU ALOEVERA HUEZA KUSABABISHA TUMBO LAKE KUSINYA HIVO KUSABABISHA MIMBA KUHARIBIKA NA KUTOKA.
NA UTAKUFIKIA NDANI YA MASAA 24.
NAMBA;
0759380541
Pia , tutumie ujumbe km utahitaji,
0759360541
MAWASILIANO ; PIGA AU TUMA MESEJI (ya kawaida au whatsApp). SASA kwenda namba..... *0759380541 ( andika pembeni uisevu kwenye simu yako tuwe familia mmoja)
KARIBU SANAAAAA........
- MAELEZO NI KWA NAMNA GANI UNAVOWEZA KUTIBU TATIZO LAKO KWA ALOEVERA
- USHAURI JUU YA MATATIZO YOYOTE YA KIAFYA YANAYOKUSUMBUA (kwa mfano, Upungufu wa nguvu za kiume, matatizo ya hedhi na UZAZI kwa wanawake ,kisukari , vidonda vya tumbo, matatizo ya macho, tezidume, unene uliopindukia, matatizo ya ngozi, pumu, maradhi ya kinywa, na kadhalika) NA NAMNA UNAVOWEZA KUYATIBU , BUREEE KABISAAA!!!! ( Hii itajumuisha maelezo ya kiundani kuhusu tatizo lako, chanzo, suluhisho, tiba sahihi , sehemu na njia utakazo pata tiba sahihi, PAMOJA NA GHARAMA ZAKE) Epuka kutapeliwa.
0759360541
MAWASILIANO ; PIGA AU TUMA MESEJI (ya kawaida au whatsApp). SASA kwenda namba..... *0759380541 ( andika pembeni uisevu kwenye simu yako tuwe familia mmoja)
KARIBU SANAAAAA........
Asante sana,kwa maelezo bidhaa zenu nazifahamu ni nzuri sana
JibuFutaNINAJIPANGA, nataka ninune vichupa vitatu INS
Nimeisevu namba yako